carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huko aliko anasoma na kucheka tu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli,binti mpole asiye na hiana.Mtoto cheko lake dahh... Sema vile alivyo na shepu la kisukuma na sura ya kichaga... aisee!!!
Yaani siku ya kwanza ya kumuona Jakitoo (nitayaongea hata na ya kujifunga sasa) binti mpole....jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Jakitoo ya Buyenze... Kamu zisi wei mama
Mambo[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadai banana boat yangu jikaushe tu na ugumu wako
Mimi nipeleke na ulipie tu ila usisahau kunirudisha pia[emoji23][emoji23]baada ya hapo uendelee na ugumu wakoWeekend hii nitakupeleka pale Snow cream! Halafu kwa vile mimi MUGUMU nitakuwa nakusubiria pale ndani ya Bookshop ya St. Joseph wakati wewe unaenjoy hiyo Banana Boat! [emoji1]
Mimi nipeleke na ulipie tu ila usisahau kunirudisha pia[emoji23][emoji23]baada ya hapo uendelee na ugumu wako
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mtu anaweza ona hii nyuzi kama walio humu ni makanyaboya ila angejua utamu wake
Sipandi uber mimi,nataka wewe unifuate na kunirudisha hata kwa guta ilimradi umenifuata[emoji23][emoji23][emoji23]UBER itakurudisha, na malipo yote yatalipiwa! La muhimu ni MUGUMU kudumisha UGUMU wake! [emoji1][emoji1]