Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]undugu hauvunjwi hivyo shemejiSalama mkuu,Cole amekuwa tatizo hauwezi amini.Sio yule kijana mpole,mwimba kwaya.Tulikuwa tukimsifia kwa usmati wake.Sasa amekuwa bure kabisa....
Anakuja na maswali humu wazee tunabaki tuna hangaika kutafuta majibu.Kitu cha ajabu kabisa, anataka tujibu anavyo taka yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpuzi kabisa na undugu mimi na yeye umeisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakazia hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Yale maua ulikuwa unamtumia Carba si ulaini huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KIDUMU CHACHAWA KIDUMUSharti moja la UGUMU ni kutoiona hiyo ya Kwa Paul Makonda! [emoji1]
Sebule chungu kama baba kagongewaUkiona Dada kaolewa ujue Dada kanogewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah, Poti bana! Kumbe unaongelea maua? Yale si majani/maua tu, wala haya symbolize chochote! Maua hayaondoi UGUMU bana! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu dogo ni aje lakini??View attachment 735800
[emoji1][emoji1]
Mambo ni motoooWoyooooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23]
KIDUMU KIDUMU CHACHAWAHahahaha mwambie nae ofa namba tatu inamhusu
Na kwako pia maza kateMuwe na asubuhi njema wapendwa
Hii sio kweliWakati mwingine kumuua kabisa[emoji13][emoji13]
Aaah mgumu wangu hivi ile simu ya yego haijakufikia tu,huyu yego ana visa kama uzinduzi wa ukuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KIDUMU KIDUMU CHACHAWA
lakini we binti mpole Mungu anakuona sio kwa ofa hiyo
Kama Ben [emoji355]8Muache aje apotee