Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Salama kabisa, hofu kwako.Pyaar Nakusalimu....
Tunakupenda piaNawapenda wote mliopo humu
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu kijana sijui anavuta bangi ya wapi siku hizi ana maswali ya majaribu kama niniSimjibuuuu...
Jana ilibaki kidooogo nitenganishwe na jamii....View attachment 735651
Woyooooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23]Jaman WAGUMU nawapenda kuliko wote tumetoka mbaliii eee karibun muwe nyumba ndogo aaii aiii wakaka wagumu,andjul na shimba wabaki na misambwax
Sijambo mzee wa ini,habari ya wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujambo
Hujawahi nijibu kama huo mkono ni wako ujue[emoji23][emoji23]Ila raha ya maisha ni kula aina tofauti tofauti ya "mihogo"View attachment 735664
Sisi tuliookoka huwa tunasemaSalama kabisa, hofu kwako.