Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mgumu mgumuuu
YES! [emoji1]
Mgumu mgumuuu
Kijana sijui ana tatizo gani[emoji23]Muangalie sana huyu kijana na maswali yake.Jana alikuuliza "NYEGE ni nini?"
Uwe unaitikia kwa adabu bana itikia hivi yes liver 3 hahahahahaYES! [emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tayari umeingia kwenye mtego wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwe unaitikia kwa adabu bana itikia hivi yes liver 3 hahahahaha
Anaona soo ila kule paul makonda wee atakuja fasta na kusema kaogopa kutimuliwa ukatibu wa wagumuLeo sijui nimeamkia upande ganj[emoji23][emoji23]
Kuna mtu nimemuandalia ka breakfast akakataa,wewe supu,ka lunch na ka dinner unavunga...
Acha nikalale kwanza[emoji124] [emoji124]
Chafyaaaaaaa ebooo hewalaaaaa 3-0Hii jeuri yako mwisho Jumamosi! Lazima uniamkie tu!
TUMIA MANENO HAYA
1.Pole sana, Nashindwa hata nitumie neno gani ili ujue nilivyoguswa na suala hili zito
2. Hatutomsahau Kamwe/ Pengo lake halitazibika
Hahahaha ukimkamata mpe na kipigo kama cha jana mancityNamfuta huko huko kisiwani
Simjibuuuu...@andjul naomba uje umjibu Cole anauloza tendo ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]