Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Basi mkuu yapotezeeni.Hivi aliyeanza personal attack kati yake na mimi ni nani!? Kwa mamlaka gani aliyokuwa nayo humu ya kunizuia kuandika kile nikitakacho kuandika? Umeona aliniamvia get help? Nipate msaada kwa lipi hasa!?
Kama kuna mtu hapendi ninachoandika humu tushindane kwa hoja siyo kutaka kunizuia kile nilichoandika au kuniambia nitafute msaada. Sihitaji msaada wowote ule.
Mkuki ukiwa mchungu kwa nguruwe basi uwe mchungu pia kwa binadamu.