Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lala masaa ya kutosha. Binadamu anatakiwa kulala masaa 7 mpaka 9 kila siku. Kulala usingizi wa kutosha huufanya ubongo wako kupata muda wa kutosha wa kupumzika na kuongeza uwezo wako wa kukumbuka mambo.
Utafiti mpya kabisa tena kutoka Harvard kabisa unasema kuwa kutopata usingizi wa kutosha pengine ndiyo sababu nambari wani ya kansa karibu zote; na wameshauri watu wanaofanya kazi za zamu za usiku kuanza kuangaliwa kwa ukaribu zaidi hasa huko mbele ya safari kwa sababu uwezekano wao wa kupata kansa maishani ni zaidi ya nusu ya wengine. Masaa sahihi ya kulala ni manane na kwa jinsi muda huu unavyozidi kupungua ndivyo immune system inavyozidi kuzorota na uwezekano wa kansa mbalimbali kuongezeka. Nilipoiona hii nikamkumbuka MD wetu Carbamazepine.
 
Wanaharakati wetu wa usawa, haki na demokrasia hawataki kabisa kabisa kusikia cho chote kinyume na wanachokisema. Ni mapovu na ad hominem attacks mtindo mmoja. Ningekuwa Mungu ningeamru hata leo hii wachukue nchi hii tuone demokrasia, haki na usawa vitakavyoshamiri. Na nawaombea sana uchaguzi ujao washinde tupate mabadiliko na demokrasia ya kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wakishinda ni visasi tupu na kusafirishwa kama miguna miguna
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.

Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.

Kwa hisani ya Bujubuji...
 
CHAMELEONE NA DANIELLE WAPATA MTOTO WA SITA. Joseph Mayanja (@jchameleon) Msaniii wa miondoko ya Ragga kutoka nchini Uganda leo wamefanikiwa kuongeza mwanafamilia kwa mke wake Danielle kufanikiwa kujifungua mtoto wa kike waliempa jina la Xara Amani Mayanja. Xara Amani Mayanja amekuwa ni mtoto wa sita kwa msanii Jose Chameleone. Danielle amejifungua salama akiwa Atlanta nchini Marekani na hivi karibuni Jose Chameleone anatarajiwa kwenda kuungana na familia yake huko nchini Marekani .
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.

Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.

Kwa hisani ya Bujubuji...
Huhuhuhu

Badamu lazima bachuruzike tu hakuna namna
 
Hivi aliyeanza personal attack kati yake na mimi ni nani!? Kwa mamlaka gani aliyokuwa nayo humu ya kunizuia kuandika kile nikitakacho kuandika? Umeona aliniambia get help? Nipate msaada kwa lipi hasa!?

Kama kuna mtu hapendi ninachoandika humu tushindane kwa hoja siyo kutaka kunizuia kile nilichoandika au kuniambia nitafute msaada. Sihitaji msaada wowote ule.

Hayo ya awamu zilizopita yazungumziwe pia na awamu hii. Sijawahi kumzuia yeyote humu kuandika kuhusu awamu ya Baba wa Taifa au awamu yeyote ile na mimi hakuna mwenye haki ya kunizuia kuandika ya awamu hii. Ukinishambulia namna yoyote ile kutaka kuonyesha mimi nina matatizo katika kukemea maovu, udhalimu na dhuluma za awamu hii basi narudisha mapigo.

Mkuki ukiwa mchungu kwa nguruwe basi uwe mchungu pia kwa binadamu.

Personal attack sio nzuri,mfano wa mjomba wake aliutoa kukuonyesha mauaji na mengineyo hayakuanza awamu hii.
 
Back
Top Bottom