myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
chinga sana unapokuwa barabarani..
Samahani. Simo humo wala kwingine kokote...Mbona unatishia sasa tutahama nchi mmebaki wenyewe CCM [emoji87] [emoji91] [emoji91] [emoji34]
Tia akili kichwani you’re the one who need help kwa kukosa huruma na utu kwa binadamu wenzio. Kwa sababu tu huyu ni Mkoromije mwenzio basi unafumbia macho maovu yake yote.
Utakuwa na utaahira wewe si bure. Haya yangekukuta wewe usingefanya huu upuuzi wako wa kutetea huyo dhalimu muuaji.
Nyerere alipoua mjomba wako kosa, lakini wengine kuuawa unapiga kimya kutetea muuaji.
Hapo huchomoki....Yaani mpaka wachafuke halafu wakuachie hivi hivi hell no !!!Ukaguzi wa kinaView attachment 735189
Jiandae...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Too much now BAK. Una chuki mbaya sana. Bomoa bomoa haijaanza mwaka huu au awamu hii bomoa bomoa imeanza awamu zote na watu walilia na kulala nje kwa kukosa makazi. Utekaji na mauaji yapo kila awamu
Wanaharakati wanasema tusiwe waoga ukisema nimeacha utatawaliwa na kutukanwa kila kukicha. We need to stop this ndan ya uzi huu,mtu freely anaita rais muuaji etc tubaki kuchekelea tu HAIWEZEKANIOK. Nimeacha shemu...and I am out...
ASANTE !!!
Wanaharakati wetu wa usawa, haki na demokrasia hawataki kabisa kabisa kusikia cho chote kinyume na wanachokisema. Ni mapovu na ad hominem attacks mtindo mmoja. Ningekuwa Mungu ningeamru hata leo hii wachukue nchi hii tuone demokrasia, haki na usawa vitakavyoshamiri. Na nawaombea sana uchaguzi ujao washinde tupate mabadiliko na demokrasia ya kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Personal attack sio nzuri,mfano wa mjomba wake aliutoa kukuonyesha mauaji na mengineyo hayakuanza awamu hii.