Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alama za barabarani
IMG-20180405-WA0012.jpg
 
Kawaulize familia ya Lissu, Ben Saanane, Ndugu wa marehemu ambao miili yao iliokotwa Coco beach, Abdul Nondo, Roma na wenzie waliotekwa na kuteswa. Watanzania chungu nzima ambao nyumba zao zilivunjwa katika bomoa bomoa huku wakiwa na hukumu ya mahakama kuzuia ubomoaji ule uone kama hawakubali nami kwamba hii ni Serikali dhalimu. Siku zote mkuki kwa nguruwe Mkuu Malcolm lakini kwa binadamu mwenye roho ndiyo mchungu. Wakati mwingine tujaribu sana kuvaa viatu vya hawa wenzetu ambao wamekutana na udhalimu wa kutisha tangu 2015 hadi sasa.



Too much now BAK. Una chuki mbaya sana. Bomoa bomoa haijaanza mwaka huu au awamu hii bomoa bomoa imeanza awamu zote na watu walilia na kulala nje kwa kukosa makazi. Utekaji na mauaji yapo kila awamu
 
Ni msimu wa hao wanyama kuzalishana kwa hiyo madereva muwe waangalifu. Na wanakuwa na muda mfupi tu wa kufanya hivyo na ukipita inabidi tena wasubiri mpaka mwaka ujao. Kwa wanyama wengi wengine tendo la kujamiiana ni strictly kwa ajili ya reproduction na siyo kama binadamu ambaye ameligeuza kuwa starehe nambari wani !!!
 
Back
Top Bottom