Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Naseeb Abdul Juma anayejulikana kama Diamond platnumz hatoweza kufanya kolabo na msanii wa Nigeria wiz kid. Kama wewe ni mjanja utaelewa ni kwanini.... ??
Nchi ya Tanzania inaongoza kuwa na wanawake warembo katika ukanda wa afrika ya mashariki,
Lakini tatizo la wanawake wetu wanadanga, wanapiga mizinga, wanagawa papa nje nje kwa hali hii tutaenda kuoa wanawake wa jirani zetu wakenya.... [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Arsenal wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee kucheza mechi ya UEFA ikiwa na wachezaji 11 wa mataifa 11 tofauti. Yaani kila mchezaji alikuwa na taifa lake!
2.Real Madrid inashikilia rekodi ya kuchukua kombe mara nyingi zaidi ikiwa imechukua mara 10. Pia ikiwa timu iliyochukua kombe mara tano mfululizo (wakati likiitwa “European cup”) kuanzia mwaka 1956 mpaka 1960
4.Ni wachezaji wawili tu waliowahi kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa fainali ya uefa Jens Lehmann (Arsenal) katika fainali ya 2006 na Didier Drogba (Chelsea), Timu zao zilipoteza michezo hiyo.
Klabu za Hispania ndio zinaongoza kuchukua kikombe cha uefa mara 14 (real madrid na barcelona pekee). Wakifuatiwa na vilabu vya England na Italia mara 12.
6.Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili za hatua ya mtoano ilishinda jumla ya mabao 18-0 dhidi ya Dudelange. Mechi ya kwanza benifica ilishinda 8-0 na mechi ya pili 10-0
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.