moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hawa nao tumewachoka bana, watu hawana hata uvumilivu na makocha, khaaaaa!!!???Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya mwishoni mwa msimu lakini kama itashindikana mazungumzo na meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique. (Star)