Unavyomtetea shemejiyo. Hapo pameandikwa Mwakaleli lakini we umekazana Koromije duh !!!Kitu cha koromije hiko umekiona?
Sawa sawa mwenyekitiCHACHAWA
Broo karibu sana tutakuwa na kikao cha kuongeza memba na katibu yegomasikaUanachama wa WAGUMU unapatikanaje? Nimechoka nataka kujiunga huko !!!
Gharama kwa nani?Twende moro
Kwani humjui kakaake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] asee kumbe unaye dadake
Wagumu mbona tupo kibao?Kife kabisa,hakuna wagumu humu
WAGUMU kama sisi hatuwezi fanya hivyoWatu(wasiojiewa lakini) wana screenshot na kutuma jukwaani
Mara paaap kapo ya wagumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakukubari sana Mpole mwenzngu hapo hapo Mgumu mwenzangu
Tabia zipi hizo?Ni kweli bro. Imagine mi nimeathiriwa tabia na kiAndaeitini tu mpaka nimebadilika kabisa.
Utamu tena na sio ugumuSlogan yetu ni chagua kufa na
UTAMU WAKO
[emoji23][emoji23][emoji23]unafurahia anguko langu??Aaah! Now am relieved! Hapo mwisho ume maliza vizuri
Nilikuwa nimepata mstuko.kdogo
Muweke wazi tumlie mahari na udege udege dadakeKwani humjui kakaake?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako wagumu uwa hatuwezi lipia gharama za mtu mwingine tuna shawishi watu wawe independentGharama kwa nani?
Hahahaha mkuu wewe ni mgumu? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] duuuuWagumu mbona tupo kibao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani acha tu yaani mi mpaka naweza vumilia hata mambo ambayo sijawahi kuvumiliaga
I miss you [emoji1][emoji1][emoji1]We umiambukiza alafu unanishanga shame on you [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wewe umeniambukiza mimiTabia zipi hizo?
Napenda nimjue huyo andaeitini mweee