Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimepewa barua ya kalipio kali na Mwenyekiti wangu wa WAGUMU! Kwa hiyo zoezi limeahirishwa! Hakuna cha ubwabwa wala Disco! [emoji1][emoji1]
Mwenyekiti wako wa chama cha WAGUMU leo mchana UGUMU ulikuwa umemwelemea. Hakuna cha karipio wala nini. Lete mrejesho !!!
20180404_134447.jpg
 
Mwenyekiti wako wa chama cha WAGUMU leo mchana UGUMU ulikuwa umemwelemea. Hakuna cha karipio wala nini. Lete mrejesho !!!
View attachment 734434
Daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndo asiyejua maana usimwambie maana
 
Sasa hii tabia ya leo umeambukizwa na nani?
Maana lile swali mmh!!!
Mimi mwenyewe nimeulizwa lile swali sababu sijui maana yake ndio nikaleta kwa wajuzi
Kuhusu tabia hii kama yako vile [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
I tell you you are intelligent! Umenirahishia kazi. Hujawahi niangusha. [emoji122]

Hahah ila nabisha hawezi kuwa yeye asee.

Ila nahisi zile stori za lara zilikuwa special for ladies zaid.
Tulikuwa tunamshuku(ile ya utani lakini)maana kule kunakuwaga na u team na mara nyingi mimi na yeye ni wapinzani.
Ila ku me wengi tunakuwa nao kule.
 
Back
Top Bottom