Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shem bhana me nimelewa lakini nimeelewa.
Yaani iko hivi,kuna mtu alileta uzi kuwa anavipele kunako,sasa mzee baba(aliyeanzishiwa uzi uliofutwa)akamuita kwa paul makonda,mtoa mada kufika kule mzee anagundua ni me mwenzie na akamuita binti,mtoa mada akamind ndo kuscreenshot evidence na kuzianzishia uzi...
Me nani mdaku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe, umenipa mwanga
 
Kipa wa Juventus Gianluigi Buffon: "Ronaldo ni bingwa wa kipekee. Kwa pamoja na Lionel Messi, ndiye peke yake ambaye hukoleza ushindi muhimu wa timu yake, na anafaa kulinganishwa na [Diego] Maradona na Pele."

Beki wa Juve Andrea Barzagli: "Cristiano aliliunda vyema bao hilo la pili. Ni kama bao la Playstation."

Kocha wa Juventus Massimiliano Allegri: "Sikui kama bao hilo la Cristiano ndilo bora zaidi katika historia ya soka, lakini lilikuwa la kipekee. Unaweza tu kumpongeza kwa yale anayoyafanya kwa sasa."
🙂🙂
 
Back
Top Bottom