myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hujambo jiraniNitaenda hata kozi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujambo jiraniNitaenda hata kozi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaenda hata kozi[emoji23][emoji23][emoji23]
Likes zimeteki ova...Imani inaponya ila kwa sasa imeshuka kidogo,ngoja nianze kuiongeza kwa bidii
Mzima sana,sijakuona kitambo
Kwema?
Jirambo jirani,Hujambo jirani
Nitabidi nijiandikishe kwakweliHahaaaa, eeh! Iko kazi hapa. Mama shughuli! [emoji1]
Yegoo njoo usaidie kutafsiri ndoto huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bhana kupambana kwema.Mimi mzima kwa kweli, mapambano tu yanaendelea! Huwa naibuka kimachale, Ila nipo!
Salama kabisa....Jirambo jirani,
Habari ya wewe
Hizi ndoto hatari mie nisingeweza kulala kabisaaa
Sasa si uende hata kutoa ile "pole mkuu sali kabla hujalala"Duu, bahati mbaya hii elimu ya nyota imenipitia kushoto! Ila nadhani ni ndoto tu!
Haya bhana kupambana kwema.
Me nafurahi kukuona tu
Sasa si uende hata kutoa ile "pole mkuu sali kabla hujalala"
Weee vipi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Bahati mbaya sana si mwepesi wa maamuzi hayo...Aah mnatufukuzia pyaar hapa
Asante,uwe na siku njemaAsante sana. Hata mimi najisikia kwatu kabisa sasa hivi. Jioni njema!
Ewaaaaaaaa hayo ndo manenoBasi nitaitoa hiyo pole kwa telephoni! [emoji1][emoji1]
Narudia tena mimi ni KE.Kwema bro kumekuchaje
Tumshukuru Mungu
Alafu hilo swali alimtandika KE mwenzie humu humu akijibiwa mimi sijui labda ni KE huwezi jua
AiseeHakuna KE wa hivyo...Kwema bro?