Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Kweli ana Yuti Yai, sio kwa kulegea huko.Mungu Akuponye binti wa Mungu. Hiyo Yuti Yai siku hizi imeenea sana sijui kwa nini..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Kweli ana Yuti Yai, sio kwa kulegea huko.Mungu Akuponye binti wa Mungu. Hiyo Yuti Yai siku hizi imeenea sana sijui kwa nini..
Asante,uwe na siku njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndo mnakuwaga hivi eeh??When you win an arguementView attachment 734290
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndo mnakuwaga hivi eeh??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],Yegoo njoo usaidie kutafsiri ndoto huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tunakuwaga wabishi hata kama hatuko sahihi.[emoji1][emoji1]Hahahaha
Nyie ndio mnatufanyaga tuwe hivi
Hiyo siku ilibidi niende kwenye mihangaiko mapema sana (saa 11alfajiri) Kwa maana ndani nilipaogopa kabisa.Yegoo njoo usaidie kutafsiri ndoto huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu swali baba[emoji23][emoji23]kijana anaulizaWhat
Black mamba
Safi, nashukuru, hofu kwakoNzuri moud za kwako?
Hahahaha! Sometimes hadi huwa mnaa anza kulia just to have a W!! Nimewashindwa you guysIla tunakuwaga wabishi hata kama hatuko sahihi.[emoji1][emoji1]
Kuna sehemu nimekuita umeona?
Poa poaaHuu uzi ngoja nikatafute picha nitupie humu
Majukumu yalibana kidogoAaah ulipotea,naona mwanafunzi yupo anazurura tu