Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jimama Black American baby face 8 figure hivi lenye msambwanda hevi nilikuwa nalifukuzia. Siku moja nikalipigia likasema liko bize kidogo litanipigia kumbe likasahau kuzima simu. Kuja kusikiliza yaani linanyanduliwa laivu na jamaa anaitwa Dewayne. Yaani linalia kabisa "This is your p**sy Dewayne. Hit it harder Dewayne...". Nilifanikiwa kurekodi ishu nzima nikalitumia audio basi likaishia kuomba msamaha. Ukimaliza kuongea na mtu hakikisha kuwa umezima simu vinginevyo kuna kuaibika aisee...
Duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"LOVE."
(feat. Zacari)

[Kendrick Lamar:]
Damn, love or lust
Damn, all of us

[Zacari (Kendrick Lamar):]
Give me a run for my money
There is nobody, no one to outrun me
(Another world premiere!)
So give me a run for my money
Sippin' bubbly, feelin' lovely, livin' lovely
Just love me
(I wanna be with you, ay, I wanna be with)
Just love me, just love me, just love me
(I wanna be with you, ay, I wanna be with)
Love me
(I wanna be with you)
Love me, just love me

[Kendrick Lamar (Zacari):]
If I didn't ride blade on curb, would you still (love me)?
If I minimized my net worth, would you still (love me)?
Keep it a hundred, I'd rather you trust me than to (love me)
Keep it a whole one hund': don't got you, I got nothin'

[Kendrick Lamar:]
Ay, I got somethin'
Hold up, we gon' function, no assumptions
Feelin' like Tyson with it
Knock it out twice, I'm with it
Only for the night, I'm kiddin'
Only for life, you're a homie for life
You're a homie for life, let's get it
Hit that shoulder lean
I know what comin' over mean
Backstroke oversea
I know what you need
Already on ten, our money come in
All feeling go out, this feeling don't drought
This party won't end.
 
Kipa David de Gea anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka wa mitano katika klabu ya Manchester United.

Mkataba huo unatarajiwa kuwa na manufaa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania ambaye atavuna mshahara Pauni350,000 kwa wiki.

Taarifa hizo ni mbaya kwa matajiri wa Hispania Real Madrid ambayo imekuwa ikihaha kusaka saini ya De Gea bila mafanikio.

Mpango huo unatarajiwa kukamilika kabla ya pazia la Fainali za Kombe la Dunia kuanza Juni nchini Russia.

De Gea, aliyejiunga na Man United kutoka Atletico Madrid mwaka 2011, amekuwa akiipa presha klabu hiyo baada ya Real Madrid kuwek mezani dau kubwa.
 
Mwaka jana nusura kipa huyo namba moja Man United na Hispania akaribie kujiunga na Real Madrid kabla ya mpango huo kugonga mwamba dakika za mwisho.

Endapo atamwaga wino, atakuwa mchezaji anayeshika nafasi ya pili kulipwa mshahara mkubwa Man United nyuma ya mshambuliaji Alexis Sanchez.

“Tunataka dunia itambue David atarejea hapa kutoka katika Fainali za Kombe la Dunia kila kitu kikiwa kimemalizika,” ilisema sehemu ya taarifa ya Man United
 
Mohamed Salah wa Liverpool au Kevin de Bruyne wa Manchester City nani ataondoka uwanjani na kicheko katika mchezo wa leo.
Salah na De Bruyne wameingia katika ushindani mkali wa kuwania tuzo ya mchezaji bora katika mashindano ya Ligi Kuu England.
Wachezaji hao wamewagawa mashabiki wa soka baada ya kila mmoja kucheza kwa kiwango bora na kutoa mchango kwa timu yake msimu huu.
 
Wakati macho na masikio ya mashabiki wa soka yametia kwa nyota hao, Liverpool na Man City leo zinateremka uwanjani kuwania pointi tatu muhimu katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Liverpool itakuwa mwenyeji wa mchezo huo kwenye Uwanja wa Anfield na mchezo huo unatarajiwa kuwa wa kukata na shoka.
Man City inayonoldewa na kocha Pep Guardiola inahitaji ushindi kwenye mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji Ligi Kuu England mapema kabla ya mashindano hayo kumalizika.
 
Man City inaingia kifua mbele katika mechi hiyo kesho ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mchezo wake wa mwishoni mwa wiki baada ya kuifunga Everton mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Goodison Park.
Timu hiyo ya Etihad itawategemea nyota De Bruyne, Sergio ‘Kun’ Aguero wakisaidiana na Raheem Sterling, Bernardo Silva, Gabriel Jesus.
Guardiola amekiri kuwa safu ya ushambuliaji ya Liverpool inamkosesha usingizi kutokana na makali yake na anaamini ni vigumu kuwazuia nyota hao.
 
Kwa upande wa Liverpool, Salah, Roberto Firmino na Sadio Mane wanaingia katika mchezo huo wakiwa wamefunga jumla ya mabao 75 ya Liverpool baina yao wenyewe. Wakati Salah akiwa amefunga mabao 37, Firmino na Mane peke yao wamepachika 38.
Liverpool iliichapa Man City mabao 4-3 katika mchezo wa Ligi Kuu Egland msimu huu.
 
Wakati leo Tanzania inaungana na nchi zingine 70 katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Madola nchini Australia, kocha wa timu ya Taifa ya ngumi, Benjamin Oyombi amesema hana presha na mataifa 49 yanayochuana kuwania medali katika masumbwi.
Kocha huyo jana alishiriki mkutano wa kupanga droo ambako kwenye ngumi mabondia 221 kutoka nchi 49 watachuana kusaka medali kwenye uzito tofauti.
 
Back
Top Bottom