Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika ngumi Tanzania itawakilishwa na Ezra Paul (uzito wa bantam), Kassim Mbutike (welter), Selemani Kidunda (middle) na Haruna Swanga (heavy).
Timu ya ngumi kwa Tanzania itafungua pazia la michezo ya Madola inayofunguliwa kwenye Uwanja wa Carrara, Gold Coast ambapo ratiba inaonyesha mapambano ya ngumi yataanza kupigwa kesho Alhamisi hadi Aprili 14.
 
Akizungumza kwa simu kutoka Australia jana, Oyombi alisema amewaanda vyema mabondia kucheza kwa umakini na lengo ni kutwaa medali katika michezo hiyo.
“Sina hofu na nchi yoyote, tuko vizuri na leo (jana asubuhi) mabondia wangu wamefanya mazoezi ya mwisho wakisubiri droo ipangwe mchana,” alisema Oyombi.
Alisema mabondia hao wanatarajiwa kucheza mapambano kati ya matatu hadi manne kabla ya kutinga hatua ya robo fainali endapo watafanya vyema dhidi ya wapinzani wao.
 
Upande wetu Ezra Paul ndiye anaweza kuanza kuzichapa ingawa mpaka sasa (jana saa 5:00 asubuhi) bado ilikuwa haijawa rasmi nani atapigana na nani. Vijana wako sawa hatuna hofu tumefanya mazoezi ya pamoja na timu ya Pakistani na Kenya huku Australia, tuko sawa” alisema kocha huyo.
 
Kwa mujibu wa ratiba ya awali, muogeleaji, Sonia Tumiotto atatupa kete ya kwanza katika mchujo wa ‘freestyle’ mita 50 keshokutwa, endapo atafuzu atatinga nusu fainali itakayofanyika baadaye mchana na akifuzu atacheza fainali Jumamosi.
Muogeleaji huyo pia atachuana Jumapili kwenye mtindo wa ‘freestyle’ mita 100 katika mchujo na nusu fainali na kama atafuzu atachuana kwenye fainali Jumatatu.
 
Kuna jimama Black American baby face 8 figure hivi lenye msambwanda hevi nilikuwa nalifukuzia. Siku moja nikalipigia likasema liko bize kidogo litanipigia kumbe likasahau kuzima simu. Kuja kusikiliza yaani linanyanduliwa laivu na jamaa anaitwa Dewayne. Yaani linalia kabisa "This is your p**sy Dewayne. Hit it harder Dewayne...". Nilifanikiwa kurekodi ishu nzima nikalitumia audio basi likaishia kuomba msamaha. Ukimaliza kuongea na mtu hakikisha kuwa umezima simu vinginevyo kuna kuaibika aisee...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] lazima ningemuonja nimsikiepo kasauti ka "ooooh beibiiii hit it hard....uuuu ooooh shit!!"
Yaani ningepata nafasi ya kuishi huko, nadhani wimbo wa "parapanda" ningesha imbiwa zamaaaani...
 
29404405_161123994552500_1994733209132204032_n.jpg
 
Back
Top Bottom