Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446429857_26245.jpg
 
Actually aligeuka na kuwa rafiki yangu sana. Alikuwa meneja wa tawi la benki na aliolewa na jamaa mmoja Mnigeria. Hata kwenye harusi nilialikwa. Si ajabu hata Dewayne alikuwepo. Na mpaka leo "nina contacts zake". [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Hongera yake kama aliolewa na kama katulia.
Ila daah[emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke tu
 
Black Americans hawatuliagi hawa. Hata leo hii nikimuita anakuja [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Huu uzi ulikuwa unazungumzia nini?
Jamaa alikuwa na viupele kunako,akaomba ushauri humu, mzee baba akamwambia tukutane Pale Mlangoni...
Ile kukutana tu mzee baba akamuomba msamaha "binti" kuwa alikuwa anatania tu.

Mlengwa akawaka kwanini kaitwa "binti"

Mzee baba nae kalipuka,mambo yakawa[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mlengwa akasikirini shoti maongezi ya Pale Mlangoni,akayafungulia uzi....
Watu wakaanza kutiririka sasaaaa

[emoji124] [emoji124] ziliwatokeeni,zilizo gawanyika,kama ndimi za moto,zilizo jaa roho mtakatifu....
Zilitiririka...
Zilitiririkaaaa...
Zilitiririka tiririkaaaaaa...[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
 
Black Americans hawatuliagi hawa. Hata leo hii nikimuita anakuja [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Test zali basi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jamaa alikuwa na viupele kunako,akaomba ushauri humu, mzee baba akamwambia tukutane Pale Mlangoni...
Ile kukutana tu mzee baba akamuomba msamaha "binti" kuwa alikuwa anatania tu.

Mlengwa akawaka kwanini kaitwa "binti"

Mzee baba nae kalipuka,mambo yakawa[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mlengwa akasikirini shoti maongezi ya Pale Mlangoni,akayafungulia uzi....
Watu wakaanza kutiririka sasaaaa

[emoji124] [emoji124] ziliwatokeeni,zilizo gawanyika,kama ndimi za moto,zilizo jaa roho mtakatifu....
Zilitiririka...
Zilitiririkaaaa...
Zilitiririka tiririkaaaaaa...[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
We jamaa wewe. Nimeelewa nusu nusu. Sijui ndo code za ubuyu zenyewe hizi. Aliyeelewa vizuri atafsiri...
 
Kuna uzi niliuona kule jf doc una content kama hizo,nikapita tu.
Sema hizi pm hizi mmh!!
 
We jamaa wewe. Nimeelewa nusu nusu. Sijui ndo code za ubuyu zenyewe hizi. Aliyeelewa vizuri atafsiri...
Shem bhana me nimelewa lakini nimeelewa.
Yaani iko hivi,kuna mtu alileta uzi kuwa anavipele kunako,sasa mzee baba(aliyeanzishiwa uzi uliofutwa)akamuita kwa paul makonda,mtoa mada kufika kule mzee anagundua ni me mwenzie na akamuita binti,mtoa mada akamind ndo kuscreenshot evidence na kuzianzishia uzi...
Me nani mdaku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu walimwambia mapema azifute sikirini shoti mapema.Mzee baba hakuwa na kosa maana aliomba msamaha mapema sana ila dogo akakomaa
Sema jamaa huwa anamasihara sana ndo kilichomponza.
Ila kule watu wanakuja na shida na wako desperate kupona sasa ukiweka masihara ndo mambo yanakuwa hivi,pole yake...
 
Back
Top Bottom