carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Unatuchosha sasa
Doh![emoji30][emoji30][emoji30]naona jamaa alikiwa na mzuka[emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Unatuchosha sasa
Doh![emoji30][emoji30][emoji30]naona jamaa alikiwa na mzuka[emoji23]
Actually aligeuka na kuwa rafiki yangu sana. Alikuwa meneja wa tawi la benki na aliolewa na jamaa mmoja Mnigeria. Hata kwenye harusi nilialikwa. Si ajabu hata Dewayne alikuwepo. Na mpaka leo "nina contacts zake". [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kwa hasira utakazokuwa nazo utatamani kumfukuzia tena?
Na hata ukimpata utamla kwa hasira tu ile mnaita hovyo hovyo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi wapi tena? Si unatulazimisha tukupe maana ya NYEGE? Endelea kuidadavua hiyo picha ufurahi na roho yako...shuaini zako
Sijui ni athari za UGUMU mi wala sielewi. Zamani hakuwaga hivi. Hi izi fialesi nawadeizi....Cole ni shida huyu naye
Hata mimi nimeukosa kosa...Huu uzi ulikuwa unazungumzia nini?
Kanaonekana kana uzoefu haka kaMD [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahahaha lol! Ndiyo zako hizi eh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiikiume 'pesa' kike ??
Nime imagine tukio nikabaki nacheka tu.Mbona fulu magego? Una ushirika na Dewayne ama?
Kwema lakini? Sala zangu zimefanya kazi?
Jamaniiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Kanaonekana kana uzoefu haka kaMD [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️