Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unawinda nini? Kaone !!!Niko kwenye mawindo[emoji23][emoji23][emoji23]
Unawinda nini? Kaone !!!Niko kwenye mawindo[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unazidi kumrusha roho mtoa mada,gilesi sijui ukoje[emoji23][emoji23]Zimefikaaaaaaa
I tell you you are intelligent! Umenirahishia kazi. Hujawahi niangusha. [emoji122]Aiseeh!pole
Ila long story short,main character wa kule yasemekana ni memba humu kwahiyo tukawa tunamshuku sam maana yeye na me wengine walikuwa wanamtetea main character,ndo sababu ya kumuita jina lile
Akikubadilikia huyu utashangaa !!!
Oky broSorry for you. It hurts...
Hilo hata yeye anajua[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah
Kwa hiyo moja ya mawindo ni birthday boy?
Sasa hii tabia ya leo umeambukizwa na nani?Humu maambukizi ya tabia ni mengi sana
Hii habari sja ipendaHilo hata yeye anajua[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ole wako unipeperushie ndege wangu
Wazungu wanasema hivi wana play hard to getIla kweli. Kuna mtu yaani unamzimikia kabisa kabisa halafu yeye anakuchezea tu. Immediately ukihamishia majeshi kwingine ndiyo sasa anaamka. Huwa sielewi ni kwa nini !!!
Asee, hawa wakifika kwenye miji kama ya huku hujifanyaga wanajua sana kuliko wastaarabu wenyewe.
mkuu what ndiyo maana yakeWhat
Yani ni mbaya pyeeee[emoji36] [emoji36]Mimi siipendi kabisa[emoji51][emoji51]