Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tumshukuru Mungu na tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Angalau tunapata mvua kila baada ya siku mbili, angalau joto linadhibitiwa taratibu
Tumshukuru Mungu na tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Angalau tunapata mvua kila baada ya siku mbili, angalau joto linadhibitiwa taratibu
Tuitikiaje mkuu......KIDUMU CHAMA CHA WAGUMU
Black Mamba albino
Kidumuuuu sie wagumuuuKIDUMU CHAMA CHA WAGUMU
Happy Birthday Mwifwa!Wewe hapo[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Ban yaishalini jamani
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ila kweli. Kuna mtu yaani unamzimikia kabisa kabisa halafu yeye anakuchezea tu. Immediately ukihamishia majeshi kwingine ndiyo sasa anaamka. Huwa sielewi ni kwa nini !!!
Unaonana sasa?halafu nililisema hili kule kwa mapopozHii habari sja ipenda
Am nikanywe maji ntarudi
Naomba uanachama CHACHAWAKIDUMU CHAMA CHA WAGUMU
HahahaaTulikuwa tunamshuku(ile ya utani lakini)maana kule kunakuwaga na u team na mara nyingi mimi na yeye ni wapinzani.
Ila ku me wengi tunakuwa nao kule.
Kwema Dada/mamaPoa, kwema mkuu??
Kidumuuuu sie wagumuuuKIDUMU CHAMA CHA WAGUMU
Daima na mileleTumshukuru Mungu na tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Andaeitini utakuwaje mgumu? Ugumu wa nini? Kukariri periodic table ama? Subiri kidogo ugonge 35+ then wi wili toko [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kidumuuuu sie wagumuuu
HahahaBlack Mamba albino
[emoji23][emoji23][emoji23]ila cole bhana sijui uliwaza nini mzee babaDaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndo asiyejua maana usimwambie maana