Elly Ngateu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 365
- 1,389
ZimefikaaaaaaaWenye mahusiano ya MAHABA ndani ya JF mnaturusha Roho sana Sie tusio na wapenzi humu JF
Wenye kapo zenu habari ziwafikie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepewa barua ya kalipio kali na Mwenyekiti wangu wa WAGUMU! Kwa hiyo zoezi limeahirishwa! Hakuna cha ubwabwa wala Disco! [emoji1][emoji1]
HahahahNiko kwenye mawindo[emoji23][emoji23][emoji23]
Humu maambukizi ya tabia ni mengi sanaMimi simuelewi siku hizi
Aiseeh!poleHahaha
Halaf bhana nilisahau kukupa feedback ile story
Niliona kama ime kaa ki kike kike hivi as a man nilashindwa kuielewa
[emoji23]
Umepotea kijana mpoleNimefanyaje tena
Mimi kijana mpole
Halafu akupeleke wapi...?
Ila kweli. Kuna mtu yaani unamzimikia kabisa kabisa halafu yeye anakuchezea tu. Immediately ukihamishia majeshi kwingine ndiyo sasa anaamka. Huwa sielewi ni kwa nini !!![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 734404
Sorry for you. It hurts...
PM zimefanyaje tenaKuna uzi niliuona kule jf doc una content kama hizo,nikapita tu.
Sema hizi pm hizi mmh!!
Me ndo nimeanza kuona saahizi.Basi haupo. Mi sioni...