Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

STAA wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amefungukia safari za mara kwa mara za nje ya nchi na kusema kuwa huwa haendi kutembea tu bali kazi yake ya muziki ndio inayompeleka huko.

Akizungumza na MCL Digital katika Tamasha la ugawaji wa tuzo zilizofanyika Mlimani City hivi karibuni, Ommy Dimpoz amesema, sio kwamba hasikii habari za kuambiwa kuwa anapenda kusafiri safiri za nje ya nchi na kushindwa kufanya kazi zake za muziki, ila watu wajue huko anakokwenda siyo anaenda kutalii kama wanavyofadhani.
 
Siyo nakwenda nje ya nchi kwenda kutalii tu kama wanavyodhani baadhi ya watu, maana nasikia sana hizo habari kuwa napenda kusafiri kuliko kufanya kutoa kazi ya muziki, labda wajue tu huko nakokwenda naenda kufanya kazi ya kurekodi kazi zangu ambapo tangu mwaka jana nazifanyia kazi. Hivyo mashabiki zangu wategemee hivi karibuni kutoa kazi mpya,"alisema Ommy Dimpoz.
 
Back
Top Bottom