Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
HayaaZilebwembwe ndo starehe yenyewe sasa.
Basi katafute huo wa makaburi waweza ipenda,yahusu mambo ya uchawi uchawi
Ahsante kwa kunijuza hiyo nta jaribu haiko feminine
HayaaZilebwembwe ndo starehe yenyewe sasa.
Basi katafute huo wa makaburi waweza ipenda,yahusu mambo ya uchawi uchawi
HahahaDooh[emoji47][emoji47][emoji47]
Hapo sawa
Huu unaitwa mkopo wa mashart magumuYap. Unaitwa kuja kugegedwa na nauli unajilipia to and fro. That's how wagumuz roll....
Mimi huyu? Moto? No wei...Ndivyo nilivyo. Nina tabia ya kuzidisha utani. Ndiyo maana huwa naomba watu wakiona utani umezidi wanishtue !!!Hapo sawa,maana siku hizi uko wa moto[emoji23][emoji23][emoji23]
Go to hellIt went like this:
Kidumu chama cha Mapinduzi !
Kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!
Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa chama!
Zidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!
Karibu tenaHayaa
Ahsante kwa kunijuza hiyo nta jaribu haiko feminine
Itabidi nielewe tu hakuna namnaHahaha
Taratibu
Somo utalielewa tuu [emoji1]
Hata kwa wazazi wasomi kama wa kwako? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Wee mahari ipo
Utasikia mkaja wa mama sijui,kaniki ya bibi,koti na fimbo ya babu,madude kibao
HahahaItabidi nielewe tu hakuna namna
...It went like this:
Kidumu chama cha Mapinduzi !
Kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!
Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa chama!
Zidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!
Wakazi wake hawahitaji mwakilishi kwa sasa. WAGUMUUUUUU !!!Woyooooooooo
Acha tuanze kampeni za uchaguzi
MSANII wa filamu Eshe Buheti ameshindwa kuvumilia kutokana na baadhi ya watu wanaolalamikia Tuzo za Sinema zilizotolewa hivi karibuni katika Ukumbi wa Mlimani City kuwa zimetolewa kwa upendeleo.
Eshe mbali na kuandika ujumbe mrefu katika akaunti yake ya instagram kuhusu kuwajibu watu wanaolalamika kuwa tunzo zimetolewa kwa upendeleo, lakini MCL Digital ilizungumza na Eshe ambapo alisema kuwa:
Sasa nikikwambia nakuaminiaga si ndio kwenye mambo kama hayoKaribu tena
Nikweli nimeandika ujumbe katika mtandao wa Inastagram na lengo ni kuwajibu wanaolalamika kuwa waliopata tunzo eti wamependelewa. Nimeamua kuandika katika mtandao wa Instagram sababu malalamiko yanatoka Instagram.
"Kwanza inabidi watu waelewe kuwa,wasanii wa filamu tuliambiwa tupeleke muvi zetu ili ziingie kwenye kinyang'anyiro cha Tuzo za Sinema Zetu. Lakini tulidharau na kuendelea na mambo yetu mengine. Sasa waliopeleka za kwao na zikaingia katika michuano na kufanikiwa kushinda bado tunaleta roho mbaya na maneno maneno yasiyokuwa na maana ambayo yanavunjana nguvu.
Tena cha ajabu wapo baadhi yetu sisi wasanii eti tunaongea ongea kama vile hatujui kilichokuwa kinaendelea na hatukufanyia kazi jamani. Watu waache kuwavunja mioyo washindi wetu. Kupitia tuzo hizo tutakuwa