Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuna laana ya ulimbukeni.
Mtu anajenga nyumba,ana nunua gari mbili (ya mume na mke) si chini ya sh.20m. Wazazi kijijini bado wana maisha yale yale ya kipindi cha kusomesha!! Kijana anaenda likizo huku kabeba vimikate na visuruali vilivyo mbana ndo vya kumpa mshua...
Siku ya kuondoka anabeba mazao na mijogoo mikubwa mikubwa huku akiacha ahadi chungu mbovu...
Shuaini kabisa ole wao waje wanifanyie hivyo,nitakuja kuitafuna mikengele yao.....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], mbona mikengele
 
Back
Top Bottom