Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446715418_27732.jpg
 
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wameshikiliwa sana na mambo yaliopita, Ni ngumu kwako kujikubali. Mambo mengi ambayo sio hata ya muhimu . Maamuzi yako ya sasa, Mchakato wa mawazo yako, tabia, mahusiano na kutazama katika uzoefu uliopita.
 
Kama upo Hivyo ACHA.

Unaweza kuwa unaogopa sasa hivi. Kukubali mabadiliko yaliopo kwako, lakini kitu cha kutambua ni kwamba unakua. Kukua kwako ni katika njia ya kutojikubali. Yaliopita ni mahali pazuri pa kupatembelea, lakini ni mahali pa hatari kubwa .
 
Jifunze kujipenda jinsi ulivyo sasa. Tazama mambo kwa jicho chanya. safari yako, hatua unazochukua kufikia mahali ulipo leo. Watu wengine wanaweza wasione hili, lakini kutazama watu kwa ajili ya kutaka kutambua hili katika safari yako, utajirudisha nyuma. Hutapata maendeleo.
 
Ndio. Ni wakati mgumu kwako wa kukubali kukua kibinafsi, lakini ni vizuri kuanza kufanya zoezi la kujipenda, kujijali na kujikubali mwenyewe . Jione wa thamani, jione kuwa wewe ni jasiri, una Amani, na una furaha. Una afya na wewe ni mtu wa matumaini.
 
Back
Top Bottom