Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446411658_28507.jpg
 
Dini ni imani ndiyo, lakini kuna muda huwa nikijaribu kufikiri sana kuhusu ujio/uwepo bwa dini (Ukristo/Uislamu) nakuwa napata shida kujua ukweli uliojificha ndani ya imani hizi.

Kwa upande wa ukristo, dini/neno la Mungu lipo ili kuelezea uwepo wa Mungu uumbaji wa mbingu na nchi na vitu vilivyomo, chanzo cha uasi (dhambi), wokovu. Kukawa na wachungaji, mapadree n.k ili kutukumbusha kile kilichoandikwa kwenye Biblia. Hivyo tumeagizwa tulitii na kulifuata neno la Mungu.

Vile vile kwa suala la ubatizo (Maji mengi/machache)
Maandiko yanasema binadamu tunazaliwa na dhambi ya asili, hivyo basi ubatizo ni njia mojawapo ya kusafisha dhambi ya asili.

Vile vile Bwana wetu Yesu Kristo alikufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu. Tumekombolewa..

******** ******

Maandiko yanasema anaetenda dhambi hatauona ufalme wa Mbingu.. Tuzitii na kuzifuata amri za Mungu.

Hivyo basi ukifikiria kwa haraka waweza sema nao watauona ufalme wa mbingu endapo tu hawatatenda dhambi. "Atendaye dhambi si mwana wa Mungu".


Lakini bado unajiuliza " Hawa watu si wana dhambi ya asili"
Waliyozaliwa nayo na wanahitaji kubatizwa.
Je, watauona Ufalme wa mbingu pasipo kuondolewa dhambi ya asili kupitia ubatizo?

Na kama Yesu Kristo alikufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu, Tukakombolewa!
Kama wokovu huu ulihusisha dhambi ya asili basi nao pasipo kutenda dhambi watauona Ufalme wa Mbingu.

Mambo ya Imani ni magumu, kila unachofikiri kuhusu uwepo wa Mungu na mambo yote yamuhusuyo hupati jibu.

Basi naweza sema hakuna ajuae kiama chetu sote ila Mwenyezi Mungu pekee.
Ingia ujionee
 
Michael Jackson alifikiwa na umati mwaka 2009 kwa madai ya kwamba alikataa kuendelea kuabudu na kuitumikia jamii na jumuiya ya siri ya illuminati, kwa kuwa aliitumikia muda mrefu sana tangu akiwa na umri wa miaka 13 kwa ushawishi wa meneja wake wa kizungu Bernard mcclough na illuminati walitaka kumpandisha cheo kikubwa lakini kwa ukaidi wa Michael Jackson ndipo walipo amua kumchukulia hatua kali dhidi yake.
 
Jumuiya ya siri ya illuminati, imeamua kumuapisha na kumpandisha cheo msanii nguli wa hip hop nchini marekani Shawn carter anayefahamika kama JAY Z kuwa msemaji na katibu mkuu wa chama cha illuminati, akifuatiwa na wasaidizi wake rihanna na mkewe Beyonce, vile vile malkia Elizabeth II wa uingereza ni mwenyekiti wa chama cha illuminati,

Mwenye chama cha illuminati ambaye ni Adam weishaupt ametoa uridhi kwa John David Rockefeller na familia ya Rothschild.

Ndiyo maana ukitizama video nyingi za jay z anamtaja Rockefeller na hata kampuni ya nguo ya jay z inaitwa roc - a - wear vile vile studio yake inaitwa Roca nation studio.

Neno Roca imetokana na Rockefeller.
 
Back
Top Bottom