Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado anatamani harusi
FB_IMG_1522866208395.jpg
 
Hakuna munkari Mkuu. A spade should be called by its original name. Hakuna kukwepesha nilichoandika ni ukweli MTUPU! Sijaongeza chochote kile ambacho si cha kweli. Na bado kuna vichwa cha treni vilivyookotwa bandarini ambavyo eti havina mwenyewe! Kumbe vilishalipiwa shilingi 71 billion na TRC tangu 2013 na sasa Serikali hii dhalimu inadai inataka kuvinunua!!! Unanunuaje vichwa hivyo ambavyo mwenyewe hajulikani!? Na kwanini vilipiwe mara ya pili? Huku ni kuziba mianya kweli? Kichwa kimoja ni $2.4 million Serikali inadaiwa imepunguziwa bei kutoka $3.5 million. Ni nani aliyewapunguzia bei wakati mwenye navyo hajulikani?

Mhhh,
Mkuu punguza munkari na ukali wa maneno..!
 
Daah huu uzi
Dini ni imani ndiyo, lakini kuna muda huwa nikijaribu kufikiri sana kuhusu ujio/uwepo wa dini (Ukristo/Uislamu) nakuwa napata shida kujua ukweli uliojificha ndani ya imani hizi.

Kwa upande wa ukristo, dini/neno la Mungu lipo ili kuelezea uwepo wa Mungu, uumbaji wa mbingu na nchi na vitu vilivyomo, chanzo cha uasi (dhambi), wokovu. Kukawa na wachungaji, mapadree n.k ili kutukumbusha kile kilichoandikwa kwenye Biblia. Hivyo tumeagizwa tulitii na kulifuata neno la Mungu.

Vile vile kwa suala la ubatizo (Maji mengi/machache)
Maandiko yanasema binadamu tunazaliwa na dhambi ya asili, hivyo basi ubatizo ni njia mojawapo ya kusafisha dhambi ya asili.

Vile vile Bwana wetu Yesu Kristo alikufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu. Tumekombolewa..

******** ******

Maandiko yanasema anaetenda dhambi hatauona ufalme wa Mbingu.. Tuzitii na kuzifuata amri za Mungu.

Hivyo basi ukifikiria kwa haraka waweza sema nao watauona ufalme wa mbingu endapo tu hawatatenda dhambi. "Atendaye dhambi si mwana wa Mungu".


Lakini bado unajiuliza " Hawa watu si wana dhambi ya asili"
Waliyozaliwa nayo na wanahitaji kubatizwa.
Je, watauona Ufalme wa mbingu pasipo kuondolewa dhambi ya asili kupitia ubatizo?

Na kama Yesu Kristo alikufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu, Tukakombolewa!
Kama wokovu huu ulihusisha dhambi ya asili basi nao pasipo kutenda dhambi watauona Ufalme wa Mbingu.

Mambo ya Imani ni magumu, kila unachofikiri kuhusu uwepo wa Mungu na mambo yote yamuhusuyo hupati jibu.

Basi naweza sema hakuna ajuae kiama chetu sote ila Mwenyezi Mungu pekee.
 
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

...and when you die, you will be transported back as cargo to the same parents whom you have ignored for years.
Mbaya sana inatokea kwa watu wengi sana wanajali maisha ya mjini tu
 
Hakuna munkari Mkuu. A spade should be called by its original name. Hakuna kukwepesha nilichoandika ni ukweli MTUPU! Sijaongeza chochote kile ambacho si cha kweli. Na bado kuna vichwa cha treni vilivyookotwa bandarini ambavyo eti havina mwenyewe! Kumbe vilishalipiwa na TRC tangu 2013 na sasa Serikali hii dhalimu inadai inataka kuvinunua!!! Unanunuaje vichwa hivyo ambavyo mwenyewe hajulikani!? Na kwanini vilipiee mara ya pili? Huku ni kuziba mianya kweli? Kichwa kimoja ni $2.4 million Serikali inadaiwa imepunguziwa bei kutoka $3.5 million. Ni nani aliyewapunguzia bei wakati mwenye navyo hajulikani?

Mkuu nakubaliana kabisa na wewe kwamba Raisi Magufuli kuna vitu anakosea sana,
Kalui zake na baadhi ya matendo yake siyo mazuri japo nadhani siyo vema sana kumuita muuaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Low blood sugar/glucose level.
Kiwango cha sukari kinakuwa chini kuliko kawaida.

Mzindo ndo nino??nimetoka kapa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilikuwa na fununu shemeji. Nilikuwa natingisha kiberiti tu. Mzindo ni kinyume cha kiherehere (hyper). Leo sijui nimeamkaje. I need to calm down...
 
Back
Top Bottom