Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapema sana leo,kwema?
Naomba nikuletee ka breakfast[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lete mama. Ila gharama zote kwako. Hata nikitaka real breakfast. Wagumu - that's how we roll...Huku kumekucha salama kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji16] [emoji16]
1522894657897.jpg
 
Lete mama. Ila gharama zote kwako. Hata nikitaka real breakfast. Wagumu - that's how we roll...Huku kumekucha salama kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimeshaleta iko hapo mlangoni nimegonha sijafunguliwa[emoji17][emoji17]
 
Tukijifunza kuwa wakweli na kukubali madhaifu yetu kama nchi tutakuwa na nafasi kubwa sana ya kuendelea. Awamu ya Tatu na Nne zilifanya kidogo tofauti kabisa na matarajio ya Watanzania.

Awamu hii ya tano ina mazuri yake sana na mabaya yake mengi ambayo lazima yasemwe bila kufumbiwa macho. Ni mapema sana kusema kwamba Tanzania imefanikiwa au amekosea kwanza Raisi Magufuli ndiyo ameingia mwaka wa tatu na kikubwa anachokifanya ni kuziba mianya ya rushwa iliyoachwa na awamu zilizopita. Kikubwa zaidi ni kwamba hata asilimia kubwa ya miradi mingi mikubwa ya sasa aliyoizindua hivi karibuni iliachwa na Mzee Jakaya na Mzee Mkapa.

Akimaliza kusimamia haya na akajua kabisa nguvu ya nchi katika makusanyo na mapato ndiyo basi tuseme kwenye awamu ya pili ndiyo ataanza kutumia hayo makusanyo kufadhili miradi mipya: Mzee Mkapa naye alifanya hivyo kwenye awamu ya kwanza, awamu ya pili ndiyo pesa ikaachiliwa na miradi ikaja kwa wingi sana.

Ila tukianza kusifia au kukashifu saa hizi tutakuea tumepuyanga sana mafanikio wala Umasikini huwa haviji kwa siku moja.
Maneno ya busara sana. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hypoglycemia ndo nini shemu? Najua tu mzizi...hypo - mzindo, hyper - kiherehere [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Low blood sugar/glucose level.
Kiwango cha sukari kinakuwa chini kuliko kawaida.

Mzindo ndo nino??nimetoka kapa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom