Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alvaro Morata wa Chelsea anaweza kuibua mzozo na kocha Antonio Conte.
Mshambuliaji huyo amemtaka Conte kumpanga katika kikosi cha kwanza muda mfupi baada ya kufunga mawili.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania, alisema Conte hampi nafasi ya kuonyesha uwezo hatua inayotishia kummaliza.
Morata, mshambuliaji wa zamani wa ‘Kibibi Kizee’ cha Turin Juventus alifunga mabao mawili katika mechi mbili tofauti hivi karibuni.
 
Kauli ya Morata imekuja muda mfupi, baada ya Conte kudai kuwa mshambuliaji huyo ana uwezo wa kufunga mabao zaidi ya 14 msimu huu.
Hata hivyo, kauli yake inaweza kumponza kwa kuwa Mtaliano huyo hapendi kukosolewa na wachezaji wake.
Morata mwenye miaka 25, ana amini hapewi nafasi ya kutosha Chelsea ingawa ana kipaji cha kufunga mabao.
Mchezaji huyo amerejea uwanjani hivi karibuni akitokea katika maumivu ya misuli ambayo ilimuweka nje muda mrefu.
 
prettykind.jpg
 
Back
Top Bottom