Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa. Mihemuko isiyo na maana kabisa.
Nilikuwa siku moja naongea na Mzee wangu akasema zamani Raisi Nyerere alikuwa anaenda pale Mlimani kufanya mijadala na wanafunzi wa Chuo na wanamshambulia kweli kweli. Kuna siku walimdhambulia kuhusu sera zake za Ujamaa akatoka kachukia akawavaa Maprofessa kwamba wanafundisha watoto Ujinga.... Hahahaha lakini cha kushangaza wale wote waliomuudhi siku ile walokuja kuwa viongozi wakubwa sana kwenye Serikali yake.
 
Hahahahaha!
Ukishakuwa kiongozi wa watu, tegemea kukosolewa, kubali changamoto..Changamoto hujenga.
Na sio kila ulisemalo lifuatwe, hata kama lina walakini, kuhoji ni haki kabisa.
 
Cole wangu yule simtegi wala nini[emoji23]
Mapenzi ya kweli hayafagi [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Cole%20Williams.jpg
 
Back
Top Bottom