myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Alhamisi ingine
Mkuu kufanana achana nako,muhimu kwa sasa ni ulinzi tuHahahaa mbona hamfanani na kufaana?
Sijui cho chote kuhusu mpira mkuu. Ni ulafi wa likes tu ila nilitakiwa kukaa kimya!!!Hahahahaha shimba unavyoongelea Liverpool ni mabingwa Mara 19 EPL Mara 5 ulaya acha kabisa hii timu
Unabahat nna usingizi nakuweka kiporo,kesho najaza habar za manshit kufungwa na majogooHalafu Numbisa usinichokoze, plizi! Nakuona tu unavyoninyemelea! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550] Hivi sijui ile mechi kafungwa nani? [emoji1]
Ulinzi au tabia ya mtu hasa jinsi anavyo controo feelings zakeMkuu kufanana achana nako,muhimu kwa sasa ni ulinzi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mabibo to TAZARA sh.400,treni nitadandia kituo cha karakana Kiwalani...Mahaba nigaragaze! Hela zangu zote za maparachichi we chukua tu, nibakishie nauli tu ya daladala ya kunifikisha Kiwalani! [emoji1][emoji1][emoji1]
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]