Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Unabahat nna usingizi nakuweka kiporo,kesho najaza habar za manshit kufungwa na majogoo
Hiyo ilikuwa ni preemptive strike! Ulale unono!
Unabahat nna usingizi nakuweka kiporo,kesho najaza habar za manshit kufungwa na majogoo
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
...and when you die, you will be transported back as cargo to the same parents whom you have ignored for years.
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
...and when you die, you will be transported back as cargo to the same parents whom you have ignored for years.
Na kuna watu wako mjini wanakula bata lakini ukifika kwao hali ndo hivi. Wamesahau kabisa home. Le Mbururaz alikumbwa na kashfa ya aina hii mamake alipofariki. MD mmoja pia Bugando pale alifariki wakamleta home kumzika watu hawakuamini. Mungu Atusaidie tuwasaidie wazazi wetu wangalipo hapa duniani kwa sababu when they are gone they are gone mtu unabakia na majuto !!!Hiyo picha imenigusa sana aisee! Imenisononesha.
Ni kujisahau tu wala hakuna kisingizio ndugu yangu...Ukute aliye toka kwenye hayo makazi ndo yule uliye mwelekeza aje kwanguView attachment 734638
Sijui tunakosea wapi hadi tunawasahau wazazi wetu kiasi hiki.Kwa kijijini gharama ya nyumba ya bati juu vyumba vitatu,sebule na choo hata milioni saba(matofari mabichi,mbao sio gharama,haihitaji kufunika dari wala vioo madirishaji) haishi.
Mahari yako na vikoro koro kadhaaPwani huko tunaambiwaga etu hakuna mahari. Nataka kuja kuwowa huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni lazima kusilimu kwanza au inakuwaje?Mahari yako na vikoro koro kadhaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hadi wewe??
Ngoja nitest zali[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mlete alipe virama na mkajaNgoja nikamuite aje kakaake
Hahahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] labda Cole, lakini wewe thubutuAlmasi cha mtoto mkuu. Usitishwe na ulaini wa nje. Ndani huko kuna ngome isiyopenyeka mkuu.
Hahahahaha, mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usizuzuke na ulaini wa nje. Moyo ni igneous rock kabisa kuupenya mpaka uwe na drill bit yenye ncha ya almasi.