mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha shimba unavyoongelea Liverpool ni mabingwa Mara 19 EPL Mara 5 ulaya acha kabisa hii timuMpira ndivyo ulivyo sometimes. Ni sawa na Man U siku moja watakapochapwa tano kavu na Aseno.