Tena sana !!!
Ni shida mkuu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️View attachment 734582
Ndio hivyo...Cant biliv liver wa kumsulubu man city aiseee
Mpira ndivyo ulivyo sometimes. Ni sawa na Man U siku moja watakapochapwa tano kavu na Aseno.Cant biliv liver wa kumsulubu man city aiseee
Hata kama ni kwenye dera kama wese lipo lipo tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]figure huonekana hata kwenye baibui
Na mwisho mkamilifu AMEN.Mungu atupe usiku wenye utulivu
Hahahahaha hii ndoto hii aseno aiseeeMpira ndivyo ulivyo sometimes. Ni sawa na Man C siku moja watakapochapwa tano kavu na Aseno.
Actually nilimaanisha Man U siyo Man C..Hahahahaha hii ndoto hii aseno aiseee
Mh!!Huwezi Kuokota Kitu Chini Ukiwa Umeegamia Ukuta Na Visigino Vyako Vimegusa Ukuta Huo
fanya zoezi lifuatalo; Simama ukiwa umenyooka huku sehemu ya nyuma ya miguu yako (visigino) vikiwa vimegusa ukuta. jaribu kuokota kitu mbele ya miguu yako!
Kweli mkuuHawa sijui watafikishana wapi hawa. Mungu Awape maono na maelewano vinginevyo wanaweza kutupeleka ndiko siko [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahahaha kawaida tu man city EPL kafungwa mechi moja tu na alifungwa na liver sisi hatari sanaCant biliv liver wa kumsulubu man city aiseee
mchizi nakua pizi mithili ya babelonHata kama ni kwenye dera kama wese lipo lipo tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]