myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:08
Iko sawa kweli???
Iko sawa. Ila imetolewa kwenye context...Iko sawa kweli???
Ghwe kinyamana,utwa masiku?Picha ya siku! View attachment 734532
linavocheza limejibeba linajiweza linavonesa linapoteza linawatesa wanavyokesha kulisomesha kulisebenza linavyotega juu kama nyigu chini containerHahah zigo la kuvunja chaga
9. Miongoni mwa upasuaji ambao utekelezaji wake huchukua muda mfupi na ni rahisi basi jicho nalo lipo.
9. Miongoni mwa upasuaji ambao utekelezaji wake huchukua muda mfupi na ni rahisi basi jicho nalo lipo.
10. Macho ni miongoni mwa viungo vya mwanadamu ambavyo hushambuliwa kwa urahisi zaidi na magonjwa, miaka kadhaa ijayo wataalamu wanasema huenda idadi ya upofu ikaongezeka zaidi duniani,hivyo uonapo lolote usilolielewa kuhusu macho yako tafadhari wahi kwa wataalam.
Hahahahaha acha kabisa mpira unaopigwa na liver Leo si wa dunia hiiTulikuwa na wasiwasi nawe mkuu. Wengine walisema eti utazidiwa na furaha uruke kutoka dirishani utumbukie baharini huko Peninsula...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji106][emoji106]Iko sawa. Ila imetolewa kwenye context...
linavocheza limejibeba linajiweza linavonesa linapoteza linawatesa wanavyokesha kulisomesha kulisebenza linavyotega juu kama nyigu chini container
HT 3-0Ngapi ngapi?
sijakuelewa mkuuGhwe kinyamana,utwa masiku?