Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najaribu kufuatilia sijaona kosa lake. Mods nao huwa hawatoi sababu wanakulima ban tu hata huelewi sababu ni nini. Ndo hivyo "jirani mpendwa" wa JT...Mtoto mpole kafanyaje tena?
Kasingiziwa ugomvi huyu!