Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAAJABU YALIYOPO KATIKA JICHO LAKO.
Pengine jicho ni moja ya kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu, hufanya kazi kwa ujilani zaidi na masikio pamoja na pua, lakini mshirika wake mkubwa katika utendaji kazi wake ni ubongo, mpaka linakamilika kuwa jicho huwa limebeba viungo vingine vipatavyo 30 hivi, ndani hubeba maji maji kwa madhumuni makubwa ya kufanya lisisinyae pia lisikae katika umbo lisiloeleweka, pamoja kwamba mshirika wake wake mkuu huwa ni ubongo lakini lenyewe huwa na tabia ya kupumzika kiasi cha ubongo kulipa kazi nyingine ili kampani iendelee na hiyo ndio huwa twaita ndoto.
 
Clara B. Williams college professors did not allow her inside the classroom because she was Black. But that didn’t stop her. She took notes from the hallway–standing up! She eventually graduated at the age of 51 and lived to 108 years old and saw her 3 sons become doctors.
26072003_134538863883873_5883815749083987968_n.jpg
 
4. Wengi huwa mnafikiri kwamba jicho liko fasta sana kubaini mdudu atakapo kuingia jichoni, lakini ukweli ni kwamba wadudu asilimia kubwa hunaswa na kope ndipo jicho huona, zinapoanza papara wewe ndio unajiponza kwa kumuingiza mdudu jichoni.
 
Back
Top Bottom