Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fikiria ni lini ulicheka kwa nguvu? baadhi watasema siku iliopita, lakini wengi hawakumbuki. hio ni kwa sababu hakuna kitu kizuri kimetokea kwetu . tumekuwa na mambo mengi . kwa sababu ya kukua kwetu. kwa kadri unavyozidi kukua na kucheka kunapungua. Lakini hii sio kweli . Tafuta kitu cha kukufurahisha na utaweza kucheka kwa nguvu . kujipenda ina maana ni kucheka mwenyewe wakati mwingine, acha wafikirie kuwa una kichaa. lakini una akili zako.

7.Sherehekea mwenyewe.

Ni lini uliwahi kufurahia kuishi kwako? sio tu kwa ajili ya mafanikio na kukamilisha jambo. lakini ni kwa kila ulichonacho katika maisha yako. maisha sio rahisi kila wakati. inahitaji moyo kuwa imara nyakati ngumu.inahitaji ujasiri wa kusimama tena baada ya kuanguka. inahitaji nguvu mpya ya kuonekana tena baada ya kushindwa. Lakini umefanya hivyo nyakati kwa nyakati tena. kwa hio unasubiri nini? Kujipenda kwa kusherehekea yote ambayo umefanya, lakini cha muhimu zaidi, ni vyote ulivyovumilia vifurahie.
 
images (32).jpg
 
Back
Top Bottom