Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh! Mhogo mhogo kweli.
Ila raha ya maisha ni kula aina tofauti tofauti ya "mihogo"
IMG_20170807_114224.jpg
 
Nimekwambia hivi huna mamlaka humu ya kunizuia kila ninachotaka kuandika. Huyo dhalimu muuaji nitaendelea kumuita hivyo upende usipende na wewe huwezi kunifanya lolote lile. Siku zote ujue hivyo. Huna RUKHSA humu ya kuingilia uhuru wa mtu yeyote humu.

Watu wengine bhana duh!!!! Weye nani humu!?

Umeona eee ndo maana ukaambiwa ukweli ila gazeti la malalamiko ulilotea hadi huruma,wewe wataka kubweka tuuuu wengine wakukalie kimya neh!utachanwa ukweli tu. Naona leo unataja kila mtu utataja woooteeeee ila kaa ukifahamu hao wote wapo chini ya Rais Magufuli.
 
Back
Top Bottom