andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Umekuja kivingine?ZAWADI NI NINI????
Umekuja kivingine?ZAWADI NI NINI????
Ukiona kikundi cha watu kinakushauri jaribu kujiangalia upya ukifanyacho. Hadi muda huu ni zaidi ya watu watatu wanakushauri upunguze ukali wa maneno ila unaishia kuripuka kwa hasira na matusi juu
Huwa natukana kuhusu? Nshawahi tukana viongozi wako wa siasa?nshawahi ita mtu muuaji wakati sina ushahidi zaid ya bla bla bla. Ukweli usemwe umezidi,ile post ya shimba ina uhalali kabisaaa. Get some helpHahahahaha lol! Acha double standards! Aliyoyasema kuhusu mimi hukuyaona lakini niliyoyaandika mie ndiyo umeyaona. Wewe mbona huwa unatukana humu!?
Nakusalimia kwa hisani ya liva[emoji1][emoji1]
Wazee wa kupenda wesee tunaenda nao sambamba hamna namna[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusabahi tu[emoji9][emoji9][emoji6][emoji6][emoji124][emoji124]
Naplan ya kuvunja hiki chama,we ngoja tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]