Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6.Kama Hakuna Mawasiliano Ya Mara Kwa Mara Mara Nyingine Siku Kupita Bila Kuwasiliana Na Mpenzi Wako Bila Sababu Ya Msingi, Na Uwezo Wa Kuwasiliana Upon A Hakuna Anayeshangaa Jua Hapo Kuna Tatizo. Kila Mkiwasiliana Ni Ugonvi Tu! Kuna Dalili Za Kuachana Na Mpenzi Wako
 
8.Kama Utajikuta Wewe Ni Mtu Wa Kusikitika Na Kulia Kila Siku Kuhusiana Na Mahusiano Yako Basi Jua Uko Katika Mahusiano Yasiyo Sahihi. Kila Mtu Ana Nafasi Sawa Ya Kuwa Na Furaha Duniani.
 
Michuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo. Michezo miwili imepigwa ambapo Barcelona wakiwa nyumbani dhidi ya As Roma wamepata ushindi wa mabao 4-1.
Mabao ya Barcelona katika mchezo huo, yamefungwa na wachezaji De Rossi ,Kostas Manolas ambao walijifunga wenyewe.Goli la tatu limefungwa na Gelard Pique huku bao la nne likipachikwa na Luis Suarez, bao la kufutia machozi la As Roma likifungwa na Edin Dzeko.
Katika mchezo mwingine Liverpool wao wamewachapa bila huruma vinara wa ligi kuu ya England Manchester city bao 3-0, Magoli ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah, Oxlade Chamberlin pamoja na Sadio Mane.
Robo fainali nyingine ya pili itafanyika tarehe 10 mwezi April kwa michezo miwili,As Roma itacheza dhidi ya Barcelona na Manchester City itachuana na Liverpool na Aprili 11 Bayen Munich itacheza na Sevilla huku Real Madrid ikicheza na Juventus.
 
F346958E-C56A-4285-BF4A-77E0DE5EE7C5.png
 
Back
Top Bottom