Amina. Nasi twakupenda sanaNina wapendeni sana watoto wakike.Mungu awabariki sana.
Aisee nilikuwa muoga sana wa bakora, nilikuwa nikichapwa hata bakora 1 nahisi kama ana mpango wa kuniua....[emoji28][emoji28][emoji28]Huo mkwara sasa. Eti niue tu...Na kweli hukuuliwa. It worked [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Human NatureAisee! Hata tunapojilinganisha na maclassmates wetu. Hatuwaangalii waliotangulia mbele ya haki na wale ambao hali zao za kiuchumi siyo nzuri bali tunakazia macho wachache waliotuzidi na kuanza kuumia moyoni. Binadamu tuko wa ajabu sana !!!