Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa usiingilie uhuru wangu huna mamlaka hayo ni MODS tu ndiyo wanaweza kufanya hivyo.Kama si wauaji kwanini hawataki kuchunguza kwa miezi minane sasa!? Unadhani Lissu angekuwa ni mtu wa CCM wangekaa miezi yote hii bila kufanya uchunguzi.

Lissu mwenyewe kasema aliyetaka kumuua ni nani na alitoa tahadhari kwamba anafuatiliwa lakini hakuna lililofanywa.

Serikali inayojali watu wake haikai kimya watu wanapopotea, miili kuokotwa baharini etc.

Sihitaji msaada wowote ule na wewe au mwingine yeyote ambaye hana mamlaka humu hawezi kunizuia kuandika kile ambacho ninakiamini na ninakisimamia. Soma upite kimya kimya.

Huwa natukana kuhusu? Nshawahi tukana viongozi wako wa siasa?nshawahi ita mtu muuaji wakati sina ushahidi zaid ya bla bla bla. Ukweli usemwe umezidi,ile post ya shimba ina uhalali kabisaaa. Get some help
 
Pooovu bla bla blaaaa hakuna ushahidi kisa fulan kasema basi unalazimisha tuzisome chuki zako humu,Mods wenyewe wakikua ban unaona umeonewa

Matusi kwa Rais hatuyataki humu. Magufuli ndo Rais wa Tanzania
Sasa usiingilie uhuru wangu huna mamlaka hayo ni MODS tu ndiyo wanaweza kufanya hivyo.Kama si wauaji kwanini hawataki kuchunguza kwa miezi minane sasa!? Unadhani Lissu angekuwa ni mtu wa CCM wangekaa miezi yote hii bila kufanya uchunguzi.

Lissu mwenyewe kasema aliyetaka kumuua ni nani na alitoa tahadhari kwamba anafuatiliwa lakini hakuna lililofanywa.

Serikali inayojali watu wake haikai kimya watu wanapopotea, miili kuokotwa baharini etc.

Sihitaji msaada wowote ule na wewe au mwingine yeyote ambaye hana mamlaka humu hawezi kunizuia kuandika kile ambacho ninakiamini na ninakisimamia. Soma upite kimya kimya.
Pooovuuu
 
Wapendwa tumshinde shetani [emoji144]
 
Hahahahaha lol! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Huna mamlaka humu wala wewe si Maxence Melo acha kuingilia kazi ambazo hazikuhusu. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Fungua forum yako huko utafanya lolote lile utakalo lakini humu povu achana nalo HALIKUHUSU.

Back
Top Bottom