mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yego tangu lini umekuwa mgumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Mti mkavu hapa, mzizi wake hauchimbwi dawa!
Yego tangu lini umekuwa mgumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Mti mkavu hapa, mzizi wake hauchimbwi dawa!
Hahahahaha nimeipenda transKabla ya tendo mnavuana
Baada ya tendo kila mtu anavaa zake
Funzo
Katika maisha hakuna wa kukusaidia wakati wa shida.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] woii hiyo dairekti transilesheni[emoji125] [emoji125]
HahahahahaHuyu kiumbe hana tofauti na wanaojiita wagumu humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kuna kitu alitumia pasaka sio bureHuko nyuma hakuwa hivyo,ni mwimbaji mzuri sana wa nyimbo za kwaya...
Tangu pasaka amebadilika sana