carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shwari tu.Mi sijambo bana, vipi mambo?
Hujapata ka ujumbe kangu ka supu asubuhi??
Shwari tu.Mi sijambo bana, vipi mambo?
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chamaKIDUMU CHAMA CHA WAGUMU
KIDUMU
Kabla ya tendo mnavuanaYaani hata sijaelewa embu fafanua
Sema suuu[emoji23][emoji23][emoji23]Sema kweli! Yaani hata ukienda Mlingotini, Bagamoyo huko, makarai yao ya maji hayataona ndani! [emoji1][emoji1]
Mtakiacha muda si mrefu, kila mmoja wenu atakiacha kimya kimya pasipo kuaga.[emoji28][emoji28][emoji28]KIDUMU! Na bado kinasajili wanachama wapya, tunawakaribisha!
Salamu zimfikie yego popote alipoNdo maana namwambia Yego sijaamua, nikiamua hachomoki.
Khaaaaa!!!Yaani kwa upande wangu ukiniomba zawadi jua ndio imekula kwako
Kale ka lunch ulihepa,nikakualika ka dinner ukahepa tena unaogopa nini na wewe mgumu??Embu jaribu kunitega basi tuone kama nitaingia kingi! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Amua bhana[emoji23][emoji23]Sio kwa milingoti wala makarai, narudia tena "SIJAAMUA" HUCHOMOKI.
Atakataa vingine vyote lakini kwangu ntakuwa kama namsukuma mlevi. SIJAAMUA.
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]kweli
Wacha nikagugoHa ha ha ha
define the terms SEX and FUCKY....
Shwari tu.
Hujapata ka ujumbe kangu ka supu asubuhi??
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Inabidi baadae tuwe na kikao cha kumsimika MGUMU Shimba ya buyeze kuwa MGUMU rasmi
He he he heWacha nikagugo