Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Inabidi baadae tuwe na kikao cha kumsimika MGUMU Shimba ya buyeze kuwa MGUMU rasmiKIDUMU! Na bado kinasajili wanachama wapya, tunawakaribisha!
Inabidi baadae tuwe na kikao cha kumsimika MGUMU Shimba ya buyeze kuwa MGUMU rasmiKIDUMU! Na bado kinasajili wanachama wapya, tunawakaribisha!
Kujitoa mhanga kwaajili ya kuondoa ugumu wenu sio shida kwangu[emoji28][emoji28][emoji28], Sipotezi kitu.
Yaani hata sijaelewa embu fafanua
Upate kupona...Wengine tunaumwa magonjwa ya moyooooooooooooo...
Mpaka kawa katibu na msemaji wa WAGUMU sio kitu kidogo you can't break MGUMU yeyoteSio kwa milingoti wala makarai, narudia tena "SIJAAMUA" HUCHOMOKI.
AminaUpate kupona...
Sawa.Kazi kwako lakini sio kitu rahisi ni sawa na kutembea juu ya maji ambayo hayajaganda
Atakataa vingine vyote lakini kwangu ntakuwa kama namsukuma mlevi. SIJAAMUA.Katibu wakazie KIGUMU TU
Kumbe dogo ana 7 parksView attachment 735520
Nimeiona sehemu hii!