Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo sijui nimeamkia upande ganj[emoji23][emoji23]
Kuna mtu nimemuandalia ka breakfast akakataa,wewe supu,ka lunch na ka dinner unavunga...
Acha nikalale kwanza[emoji124] [emoji124]

Yaani sisi WAGUMU ni shida, wala usijilaumu na kuanza kujiuliza maswali ya upande uloamkia, tatizo unakumbana na visiki, WAGUMU yani! [emoji1]
 
upload_2018-4-5_20-32-26.jpeg
 
Back
Top Bottom