Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
YapAsante Salah
OKUsed to be one of my fav
[emoji2] [emoji2] , pumzi ikikuishia nambie nikupe msaada.Subiri sasa narud na kasi ya 5g
Ujaona fomu yake ya maombi ya kuwa MGUMUWeeeee hebu mtoe shimba hapo,ana mke humu[emoji1][emoji1][emoji1]
Nikirudi humu tena tutaimba mapambio rip CHACHAWA[emoji23][emoji23][emoji23]jiandaeniYaani sisi WAGUMU ni shida, wala usijilaumu na kuanza kujiuliza maswali ya upande uloamkia, tatizo unakumbana na visiki, WAGUMU yani! [emoji1]
Sawa mkuu kweli kabisaMkuu hata hivyo pale tulikuwa tunaondoka na ushindi zaidi ya goli zile. Hata hivyo acha nyingine tukawamalizie kwao
Kwendaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]WAGUMU OYEEEEEEEE
KIDUMU CHACHAWA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Pyaar njoo utafsiri !!!
Nini wewe zawadi nikuletee mwenyewe sio uniombe.Khaaaaa!!!
Napanga mashambulizi hapa nikianza utaomba poo[emoji23][emoji23]kaa mkao wa kulainikaTuone kama itashindana na LTE! [emoji1][emoji1]
Usijali[emoji2] [emoji2] , pumzi ikikuishia nambie nikupe msaada.
Tendo ni nini?Kabla ya tendo mnavuana
Baada ya tendo kila mtu anavaa zake
Funzo
Katika maisha hakuna wa kukusaidia wakati wa shida.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] woii hiyo dairekti transilesheni[emoji125] [emoji125]
Karibu chama hili no ubaguziZidumu fikra za mwenyekiti wa chama