Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu habari za usiku huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cole mwenyekiti wa wagumu
Salama mkuu,Cole amekuwa tatizo hauwezi amini.Sio yule kijana mpole,mwimba kwaya.Tulikuwa tukimsifia kwa usmati wake.Sasa amekuwa bure kabisa....
Anakuja na maswali humu wazee tunabaki tuna hangaika kutafuta majibu.Kitu cha ajabu kabisa, anataka tujibu anavyo taka yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpuzi kabisa na undugu mimi na yeye umeisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom